25 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Oct 2026
13:28
Tumkabidhi Mungu mipango na safari yetu, tukiamini kuwa mapenzi yake ni mema. Hata njia inapokuwa ngumu, tuendelee kumtumaini na kufuata uongozi wake.