
32 views
Erick Oduor, Katibu Mkuu wa KUJ, anazungumzia changamoto zinazowakabili wanahabari nchini, ikiwemo kukamatwa, kuvamiwa na kuingiliwa wanapotekeleza majukumu yao. Anaangazia pia uhuru wa vyombo vya habari, uwajibikaji wa umma, hatua za KUJ kuwalinda wanahabari, pamoja na madai kuhusu hatua ya IPOA kufuatia kesi ya mhariri wa Standard aliyedaiwa kutekwa nyara.