
54 views
Erick Oduor anaeleza kuhusu changamoto zinazowakabili wanahabari wanapotekeleza majukumu yao, akidai kuwa baadhi yao huvamiwa wanapouliza maswali ambayo serikali haitaki kujibu. Anasisitiza umuhimu wa kulinda uhuru wa vyombo vya habari na kuhakikisha wanahabari wanaweza kutekeleza wajibu wao bila vitisho au kuingiliwa.