20 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 6 Oct 2026
2:29
Kuwa Mkristo kunahitaji hekima na utambuzi wa kujua yanayompendeza Mungu na yale tunayopaswa kuyaacha. Tuchague yaliyo mema, tujifunze kutokana na Neno la Mungu na kuyaishi katika maisha yetu ya kila siku.