
24 views
Wakati mwingine changamoto tunazopitia zinaweza kutufanya tuogope na kukata tamaa. Lakini Mungu yuko pamoja nasi; anaweza kufungua njia pale tunapoona hakuna tumaini na kutupa ushindi dhidi ya kila kinachotutesa. Endelea kumtumaini na usikate tamaa.