
91 views
Oscar na Priscilla wanaangazia mambo muhimu kuhusu kulea na kuwafunza mbwa, wakiwataka watu kuondokana na dhana kwamba kumiliki mbwa ni gharama kubwa au mafunzo yao ni kazi ya mtu yeyote. Wanazungumzia pia umuhimu wa genetics, uelewa wa tabia za mbwa, malezi bora na mafunzo sahihi ili mbwa aweze kuwa mlinzi, msaidizi na mnyama mwenye manufaa kwa jamii.