31 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
10:05
Oscar anaeleza kuwa genetics za mbwa zina nafasi kubwa katika jinsi anavyopokea na kushika mafunzo. Anasema kuelewa asili na uwezo wa mbwa ni muhimu ili kumsaidia kufikia kiwango bora katika mafunzo.