341 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
40:04
Dr. Brian Lishenga anadai kuwa Rais William Ruto anataka Wakenya wasahau kuhusu namna anavyotathmini utendaji wa serikali yake. Sikiliza maoni yake kuhusu uongozi wa serikali na masuala yanayoibua mjadala nchini.