42 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
11:07
Dr. Brian Lishenga anasema changamoto iliyopo ni urais kuchukua nafasi kubwa katika masuala mbalimbali ya uongozi na utawala. Sikiliza mtazamo wake kuhusu mgawanyo wa mamlaka na hali ya siasa nchini.