41 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
4:30
Dr. Brian Lishenga anadai kuwa serikali ilikuwa ikifanya juhudi kuhakikisha harakati za Linda Mwananchi zinapoteza nguvu. Sikiliza mtazamo wake kuhusu harakati hizo na siasa za Kenya kuelekea uchaguzi wa 2027.