1,887 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
15:29
Dr. Brian Lishenga anasema Edwin Sifuna na Babu Owino ni marafiki wa kweli, licha ya mitazamo na misimamo yao ya kisiasa. Sikiliza maoni yake kuhusu uhusiano wao na siasa za kuelekea uchaguzi wa 2027.