693 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
11:12
Zack Barasa anadai kuwa serikali inafanya juhudi kumdhoofisha Edwin Sifuna kisiasa. Sikiliza mtazamo wake kuhusu kinachoendelea na nafasi ya Sifuna katika siasa za kuelekea uchaguzi wa 2027.