855 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
11:41
Zack Barasa anasema Edwin Sifuna anapaswa kurejea kwenye drawing board na kutathmini upya mkakati wake wa kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027. Sikiliza maoni yake na mtazamo wake kuhusu hatua zinazofuata za Sifuna.