30 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 5 Oct 2026
3:19
Tukipata nafasi ya kuwafanyia wengine mema, tusisubiri kesho. Mungu ametupa uwezo na nafasi ya kuwasaidia wengine, hivyo tutumie tulichonacho kuleta faraja, tumaini na mabadiliko katika maisha ya walio karibu nasi.