
408 views
Kenya Leo Karibu katika kipindi chako pendwa cha Kenya Leo ukiwa na Suleiman Yeri na Chris Kimuya. 🎙️🇰🇪 Leo tunaangazia mustakabali wa taifa, tukichambua masuala yanayogusa Kenya na mwelekeo wake. Wageni wetu leo ni Bethwel Washington na Francis Kavyu. Ungana nasi!