
72 views
Mombasa United wameanza kwa kishindo kwenye playoff dhidi ya Kariobangi Sharks! Mechi ilikuwa na ushindani mkubwa huku Mombasa United wakipata bao la kuongoza na kuweka presha kwa Sharks. Tazama matukio muhimu ya mchezo na ufuatilie hatua inayofuata ya playoff.