21 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 1 Oct 2026
3:08
Wakati mwingine shughuli za maisha na changamoto zinaweza kutufanya tuanze kumpuuza Mungu bila hata kutambua. Jichunguze, rudi kwake kwa moyo wa unyenyekevu na uimarishe tena uhusiano wako naye.