
63 views
Katika mazungumzo haya, Olivia Akoth anazungumzia safari ya maisha ya mwanamke, changamoto anazokutana nazo, mahusiano, malezi, mafanikio na namna ya kukabiliana na misukosuko ya maisha. Anaangazia pia umuhimu wa kujijenga, kuishi vizuri na watu, kushughulikia msongo wa mawazo na kuendelea kufuatilia ndoto zako licha ya changamoto.