
3,510 views
Katika mahojiano haya, wanawake wanatoa mitazamo yao kuhusu changamoto wanazokutana nazo wanapojitokeza katika uongozi, ikiwemo namna jamii inavyowatazama na kuwahukumu. Wanajadili pia umuhimu wa kuangalia uwezo, mawazo na mchango wa mwanamke badala ya kumhusisha na maisha yake binafsi.