
268 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali ft. Amani Aila Kwa nini Aliko Dangote amechagua Kenya, na hasa Lamu, kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta wa KSh2.3 trilioni? Ni nini kinachofanya Lamu kuwa eneo muhimu kwa mradi huu mkubwa, na ni fursa zipi Kenya inaweza kupata kutokana nao? Producer: Mercy Shirley