
209 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Manchester City imekabiliwa na mashtaka 115 ya ukiukaji wa kanuni za kifedha za Premier League. Baadhi ya madai yanahusisha taarifa za fedha zisizo sahihi na mikataba inayodaiwa kuwa ya kughushi. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura