
25 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Mapenzi huhitaji utoto kidogo; kucheka pamoja, kutaniana, kusumbuana kwa upendo na kufurahia vitu vidogo. Maana wakati mwingine, furaha ya kweli kwenye mahusiano huanza pale mnapoacha kuwa serious sana. Producer: Mercy Shirley