
5 views
Host: Amani Aila Imani ya kweli si kuamini tu, bali pia kuwa tayari kusikiliza na kutii mwongozo wa Mungu. Wakati mwingine Mungu huzungumza nasi kupitia Neno lake, maombi na mazingira tunayopitia, hivyo tusipuuze ujumbe wake. Producer: Mercy Shirley