
30 views
Host: Amani Aila Alikutana na mtu kipofu ambaye alihitaji msaada, akaamua kumsaidia. Baada ya tukio hilo, maisha yake yalibadilika kwa namna ambayo hakutarajia, na akashuhudia mkono wa Mungu ukifungua milango mipya ya baraka. Producer: Mercy Shirley