
454 views
Host: Amani Aila Kuna utafiti unaoendelea Uturuki kuhusu eneo linalodaiwa kuwa Safina ya Nuhu! Watafiti wanaendelea kuchunguza muundo huo kwa kutumia teknolojia za kisasa. Je, huu unaweza kuwa ushahidi wa Safina ya Nuhu? Producer: Mercy Shirley