
59 views
Host: Amani Aila Kitengo hiki kinatupa nafasi ya kushirikishana mistari ya Biblia inayotutia moyo, kutupa nguvu na kuimarisha imani yetu. Shiriki nasi Neno ambalo limekugusa leo, huenda likawa faraja na tumaini kwa mtu mwingine. Producer: Mercy Shirley