
82 views
Host: Christine Kambua Katika mahojiano haya, Wakili Sam Ogolla anaeleza kwa kina kuhusu haki za watoto na wajibu wa wazazi na walezi katika kuwalinda. Anazungumzia masuala ya unyanyasaji wa watoto, kuripoti visa vya dhuluma, adhabu kwa watoto, pamoja na wajibu wa kisheria wa mtu anayemlea mtoto. Ni mazungumzo muhimu kwa kila mzazi, mlezi na mtu anayejali usalama na ustawi wa watoto.