1,144 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 29 Sep 2026
35:43
Dr. Peter Mbae amesema kuwa anaamini Wakenya wengi wameungana kuunga mkono wazo la Rais kuhudumu kwa muhula mmoja. Kauli hiyo inaendelea kuchochea mjadala wa kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027.