
671 views
Dr. Peter Mbae ametabiri kuwa Rais William Ruto atapata asilimia 30 ya kura za Mlima Kenya katika uchaguzi wa 2027, huku akidai asilimia 70 zikienda kwa upinzani. Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa eneo hilo kuelekea uchaguzi mkuu.