
57 views
Kanja ameepuka tena kifungo kuhusiana na vizuizi vya barabarani jijini Nairobi, hali inayozua mjadala kuhusu namna mahakama inavyoshughulikia kesi kama hii. Je, ni sawa mtu kupewa msamaha kwa kosa moja mara mbili, au hatua nyingine za kisheria zinapaswa kuchukuliwa? Tazama mjadala na utoe maoni yako.