
27 views
Host: Amani Aila Wakati mwingine unaweza kukutana na upinzani na changamoto unapofuata kusudi la Mungu. Lakini usikate tamaa wala kurudi nyuma. Endelea kumwamini na kusimama katika njia yake, kwa sababu hakuna upinzani unaoweza kubatilisha mpango wake. Producer: Mercy Shirley