
70 views
Host: Amani Aila Changamoto hazimaanishi kwamba umechagua njia isiyofaa. Wakati mwingine kufanya jambo sahihi huja na majaribu, upinzani na nyakati ngumu. Endelea kuwa na imani, vumilia na usikate tamaa kwa sababu magumu ya leo si mwisho wa safari yako. Producer: Mercy Shirley