
8 views
Host: Amani Aila Hata unapopitia changamoto au kutokuwa na uhakika kuhusu kesho, kumbuka kuwa Mungu hajakuacha. Mwamini na uendelee kusonga mbele kwa imani, kwa sababu anajua unachohitaji na anaweza kukuongoza kwenye njia yenye tumaini. Producer: Mercy Shirley