78 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 28 Sep 2026
28:29
Kelvin Waga anasisitiza umuhimu wa kuwafundisha watoto kuhusu uwekezaji mapema. Anazungumzia namna maarifa ya kifedha yanavyoweza kuwasaidia watoto kujenga nidhamu ya pesa na kujiandaa kwa maisha ya baadaye.