18 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 28 Sep 2026
4:00
Kelvin Waga anazungumzia umuhimu wa kujenga ujuzi na uwezo unaokufanya uwe wa thamani katika soko la ajira. Anashauri vijana kuangalia mahitaji ya job market na kujitayarisha ili kuongeza nafasi zao za kupata fursa.