66 views
Radio Maisha Staraabika on Radio Maisha
Aired 28 Sep 2026
9:45
Kioo cha Jamii inajadili tukio la interviewee aliyefika dakika 70 baada ya muda wa interview bila kuomba msamaha, hali iliyomfanya mwajiri kuamua kukataa kazi hiyo. Je, kuchelewa kwa kiwango hicho ni sababu ya kukataa nafasi ya kazi?