
478 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Mazungumzo haya yanahusu mambo yanayogusa taifa na mitazamo tofauti ya viongozi huku uchaguzi wa 2027 ukikaribia. Mjadala unaangazia nafasi za viongozi mbalimbali katika siasa za sasa, pamoja na changamoto na maamuzi yanayoweza kujitokeza kuelekea uchaguzi. Producer: Mercy Shirley