
173 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Mtazamo umetolewa kwamba upinzani hauna mpango wa kisiasa na kwamba lengo lao kuu ni kumzuia Rais William Ruto. Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mikakati ya upinzani, nafasi yao katika siasa za sasa na namna wanavyopinga serikali. Producer: Mercy Shirley