
939 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Rigathi Gachagua alisema kuwa baada ya muungano wa upinzani kutangaza mgombea mmoja wa urais, kiongozi mmoja ataondoka kwenye mpango huo; lakini hakumtaja. Unadhani Gachagua alikuwa akimrejelea nani? Producer: Mercy Shirley