
70 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Harambee Stars na Eritrea: 1-1, lakini mechi haikukosa drama! Kuanzia allowances ambazo hazikulipwa, maandalizi kuvurugika, hadi mvutano wa Abud Omar na maafisa wa timu baada ya kumpa shabiki jezi. Producer: Mercy Shirley