8,180 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 25 Sep 2026
30:10
Jay Melody na Nakupenda Jay Melody anasema wimbo wake wa “Nakupenda” ndio uliokuwa chachu ya kumpa umaarufu mkubwa na kumtambulisha zaidi kwa mashabiki, hatua muhimu katika safari yake ya muziki.