
1,131 views
Host: Clemmo & Jitabi Jay Melody anazungumzia changamoto na fursa katika tasnia ya muziki, akieleza kuwa kama angepata nafasi ya kubadilisha jambo moja, angehakikisha wasanii wanapewa nafasi zaidi ya kuonyesha vipaji vyao na kukuza kazi zao. Producer: Mercy Shirley