
23 views
Unapodhulumiwa au kukabiliwa na ukatili, unajua unaweza kupiga nambari maalum na kupata msaada pamoja na mahali salama pa kujisitiri? Katika mazungumzo haya, tunakueleza hatua unazoweza kuchukua na mahali pa kupata shelter na msaada unapohitaji. Usikae kimya—jua haki zako na mahali pa kupata msaada.