81 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 25 Sep 2026
5:13
Wanawake wawili wamefikishwa kortini na kushtakiwa kuhusiana na mpango wa uwekezaji wa QVSE unaodaiwa kuhusisha Sh65,000. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu uhalali wa mpango huo na fedha zinazodaiwa kuhusika.