50 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 25 Sep 2026
1:58
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Harambee Stars wanajiandaa kukutana na Eritrea kesho katika mechi ya kufuzu AFCON 2027, huku masuala ya malipo ya wachezaji na benchi ya ufundi yakiendelea kujadiliwa. Producer: Mercy Shirley