
62 views
Evelyne Gaya anaeleza kuhusu changamoto zinazowakabili wafanyabiashara, akisema baadhi yao hutokana na wateja. Anashiriki uzoefu wake katika biashara ya keki, changamoto za kuhudumia wateja na umuhimu wa kujua namna ya kukabiliana na changamoto hizo ili biashara iweze kukua.