63 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Sep 2026
6:59
Rais William Ruto ameonekana akitembea kwa utulivu katika mitaa ya New York akielekea kwenye Mkutano Mkuu wa 81 wa Umoja wa Mataifa (UNGA). Tukio hilo limezua mjadala kuhusu namna viongozi wanavyotembea kwa uhuru wakiwa nje ya nchi.