29 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Sep 2026
4:24
Maswali yazuka kuhusu zabuni ya uingizaji wa mahindi ya Sh26 bilioni. Ni kampuni gani imepewa zabuni hiyo, na ni kwa nini imeibua maswali? Fuatilia mjadala na maelezo zaidi kuhusu sakata hili.