20 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Sep 2026
4:31
Host: Amani Aila Tujifunze kuomba msamaha tunapokosea. Kukiri makosa yetu kwa unyenyekevu ni hatua ya muhimu katika kujenga uhusiano mzuri na Mungu na pia na wengine. Producer: Mercy Shirley