
31 views
Host: Amani Aila Ushuhuda wa ndugu huyu akisimulia jinsi Mungu alivyoingilia kati na kumnusuru mama yake aliyekuwa akiugua. Ushuhuda wake unatukumbusha kuwa Mungu ni mwenye nguvu, rehema na mwaminifu katika kila hali. Producer: Mercy Shirley